يَقُولُ مِثْلَ مَا يَقُولُ المُؤَذِّنُ إِلاَّ فِيحَيَّ عَلَى الصَّلَاةِ وَحَيَّ عَلَى الْفَلَاحِفَيقُولُ:لاَ حَوْلَ وَلاَ قُوَّةَ إِلاَّ بِاللَّهِ
‘Mtu hurudia kama anavyosema muadhini (mwitaji wa swala),isipokuwa anaposema:Hayya ‘alas-swalah (au) Hayya ‘alal-falah ‘njooni kwenye swala,njooni kwenye ufanisi’, badala yake mtu aseme:La hawla wala quwwata illa billah.‘Hakuna uwezo wala nguvu isipokuwa kwa Allah.’



